Kazi zetu ni zipi hasa?

Sehemu kubwa ya kazi za tzNIC ni kuratibu na kusimamia usajili wa vikoa vya .tz

Kwa kufanya hivyo:

  • Tunakufanya uweze kujulikana duniani kote;
  • Tunalipa jina huduma ama biashara yako kwa kutumia nembo ya kimtandao ya Tanzania;
  • Tunakupa fursa ya kuwa na ushindani zaidi;
  • Tunahakikisha unapata mawasiliano ya mtandao yaliyo salama, yenye gharama nafuu, ya kuaminika na yenye kasi ;
  • Tunabadilisha mustakabali wa Intaneti